Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasumbuliwa na mafua kila ninapoamka kila siku. Lakini ikifikia mda wa mchana au jioni yanapotea. Nikiamka siku ya pili tena vilelevile.
Naomba ushauri. Tatizo ni nini hasa, na suluhisho lake.
Wewe ni Mwanamke au Mwanaume? Tuanzie hapa Kwanza.
mwanamme
Sawa. Jitahidi uwe unakunywa sana Maji Mkuu halafu hakikisha kila unapokuwa unalima ' Shamba Mbunye ' lako uwe unapanda Mbegu zako zote na Kiusahihi kabisa katika ' Mashimo ' yake yaliyotengwa na usibaki hata na Mbegu moja katika ' Ghala Mkuyenge ' lako na hiyo hali itakuwa ni historia Kwako.
Kila la kheri!
Kwasisi ambao hatuna wake/wapenzi na hatuna hali hiyo unatusaidiaje?Sawa. Jitahidi uwe unakunywa sana Maji Mkuu halafu hakikisha kila unapokuwa unalima ' Shamba Mbunye ' lako uwe unapanda Mbegu zako zote na Kiusahihi kabisa katika ' Mashimo ' yake yaliyotengwa na usibaki hata na Mbegu moja katika ' Ghala Mkuyenge ' lako na hiyo hali itakuwa ni historia Kwako.
Kila la kheri!