Mafua/kamasi ni machungu sijui itakuwa ni nini?

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
Habari wana jamvi, leo ni siku ya pili kila ninapo vuta mafua/kamasi kupitia matundu ya juu ya kinywa kutokea puani makamasi hayo yanapogusa ulimi huwa na kauchungu mithili ya uchungu wa mwarobaini.Sijui itakuwa ni kwasababu gani?
 
habari wana jamvi,leo ni siku ya pili kila ninapo vuta mafua/kamasi kupitia matundu ya juu ya kinywa kutokea puani makamasi hayo yanapogusa ulimi huwa na kauchungu mithili ya uchungu wa mwarobaini.Sijui itakuwa ni kwasababu gani?
Nenda Hospitali kapime huenda una Maradhi ya Allergy
 
Mafua yana chumvi mkuu sio machungu, itakua una allergy
 
tena afadhali mnisaidie, kuna huyu mtu hapa anaumwa mafua hadi kichwa kinamuuma, analalamika sana, hii itakuwa ni nini wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…