Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Hospitali kapime huenda una Maradhi ya Allergyhabari wana jamvi,leo ni siku ya pili kila ninapo vuta mafua/kamasi kupitia matundu ya juu ya kinywa kutokea puani makamasi hayo yanapogusa ulimi huwa na kauchungu mithili ya uchungu wa mwarobaini.Sijui itakuwa ni kwasababu gani?