Mafua makali,homa, kichwa kuuma,tumbo kuuma,ni ugonjwa gani?

Mafua makali,homa, kichwa kuuma,tumbo kuuma,ni ugonjwa gani?

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Nimeona Instagram ya yericko Nyerere akizungumzia ugonjwa huo mpya
Nipo igunga na kuna familia zimekumbwa na ugonjwa huo
Yaani hayo mafua zaidi ya wiki hayasikii dawa
Mwenye kujua shida nini atueleze
 
Mngependa kwenye kituo cha afya kilicho karibu nanyi kwa vipimo zaidi.
 
Mngependa kwenye kituo cha afya kilicho karibu nanyi kwa vipimo zaidi.
Mimi si mhusika,ila tangu j3 hiyo familia inaugua, nilipoona kwa yericko,aliye dar,nikakumbuka,kama kuna sehemu nyingine kuna hii shida tusanuane
 
Pale wanasiasa maupumbavu yakihara ujinga wao duniani yanatafuta namna ya kubadili uelekeo kwa taharuki
 
Pale wanasiasa maupumbavu yakihara ujinga wao duniani yanatafuta namna ya kubadili uelekeo kwa taharuki
Uelekeo ubadilishwe kwa lipi hasa lililotokea?..toka mfundishwe uwepo wa kubadili uelekeo kwenye siasa basi kila jambo
 
Back
Top Bottom