Mafua makali na kusikia baridi

Huu ushindi wa huyu chalii wa R Chugga unanisababisha kukaa kimya na kutoharibu mudi buree!!!!
Filipo siku hizi Pepo hashindwi tena?

majaribu ni mengi na ninayakabili mpz. Hakika tutashinda. Lol...
 
Last edited by a moderator:
Malaria hiyo kapime coz ucje shindwa vuka mwaka ukileta mchezooo
 
Malaria hiyo kapime coz ucje shindwa vuka mwaka ukileta mchezooo

mwenzio mwoga kama wa nini wa kuumwa
yaani mda kama huu nasikia baridi mwili wa moto sana mafua yamekata ila mchana inakuwa at least
 
Embu fanya kama nilivyokwambia basi. Usije kujilaumu bure!
mwenzio mwoga kama wa nini wa kuumwa
yaani mda kama huu nasikia baridi mwili wa moto sana mafua yamekata ila mchana inakuwa at least
 
Naombeni msaada wa tiba ya mafua ni miezi kumi sasa. Pua zinaziba na hospitalini naambulia piritoni tu na antihistamines lakini wapi.
 
Naombeni msaada wa tiba ya mafua ni miezi kumi sasa. Pua zinaziba na hospitalini naambulia piritoni tu na antihistamines lakini wapi.

Nenda Muhimbili ukaonane na Dr. Wa magonjwa ya pua kuna kipindi nilikuwa na tatizo kama hilo na kichwa kilikuwa kinauma sana nikamuona Dr. Mmoja hivi anaitwa Hemed ila kwa sasa hayupo alinishauri kupiga x-ray ya pua then akanielekeza niende hospitali moja hivi iko magomeni nikapime kipimo cha alergy kumbe ilikuwa alergy aliniandikia dawa nimepona.
 
Jina la dawa hiyo please!
 
Mafua yananisumbua balaa. Any help from any one?

Hata dawa kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…