Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usinifanyie hivyo Mkuu!
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mwenzio mwoga kama wa nini wa kuumwa
yaani mda kama huu nasikia baridi mwili wa moto sana mafua yamekata ila mchana inakuwa at least
nyooo nimeshapona tayari
Naombeni msaada wa tiba ya mafua ni miezi kumi sasa. Pua zinaziba na hospitalini naambulia piritoni tu na antihistamines lakini wapi.
Jina la dawa hiyo please!Nenda Muhimbili ukaonane na Dr. Wa magonjwa ya pua kuna kipindi nilikuwa na tatizo kama hilo na kichwa kilikuwa kinauma sana nikamuona Dr. Mmoja hivi anaitwa Hemed ila kwa sasa hayupo alinishauri kupiga x-ray ya pua then akanielekeza niende hospitali moja hivi iko magomeni nikapime kipimo cha alergy kumbe ilikuwa alergy aliniandikia dawa nimepona.
Nini??.Kapime mkuu