Rehemadick
Member
- Aug 11, 2017
- 8
- 2
Kula Asubuhi kabla ya kula kitu tafuna punje 2 za kitunguu saumu mezea kwa maji ya Uvuguvugu kisha kaa kwa muda wa saa 1 bila ya kula kitu baada ya saa 1 kupita waweza kula chakula fanya hivyo wakati wamchana na usiku kila siku tumia siku 3 au siku 5 au siku 7 kisha uje hapa utupe mrejsho wako.Jamani naombeni ushauri Nina mafua makali sasa no mwaka wa 9 nimetumia dawa za hospital lakn bado dawa za mitishamba nimetumia lkn bado naangaika. Kuna MTU kama anajua utatuzi wa hili tatizo anambie
Sent using Jamii Forums mobile app