Mafua mara kwa mara

Mafua mara kwa mara

Penelope

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
713
Reaction score
642
Nina tatizo la kupata mafua muda wowote wakat wowote,nina alergy na vumbi
harufu za pafyum,manyoya pamoja na vingine hata nisivovijua wakat mwingine .
Pia wakati wa usiku hua nasugua sana masikio na koo mpk wakati mwingine napata vidonda.
Ushauri tafadhali.
 
Dawa ya allergy ni kuepuka kinachokusababishia hilo tatizo mfano kama ni vumbi epukana nalo nk.ila unaweza kumeza cetirizen 10mg-kidonge kimoja kila siku kama kinga hata kama huna mafua inaweza kukusaidia.
 
Back
Top Bottom