Mafua na kifua ya mwaka iko tough ni kupambana

Mafua na kifua ya mwaka iko tough ni kupambana

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,915
Reaction score
28,284
Hii kitu Kila mwaka inanipa shida mno sema Cha mwaka huu kimekutana na changamoto ya stress za maisha basi ni kupambana hadi sio poa
Tuombeane sana
 
Hii kitu ni serious mimi imenilaza wiki,, kikohozi na mafua yasiyosikia dawa, plus kifua kubana, nilishaanza kuandika wosia kabisa sema Mungu ni mwema niko poa kwa sasa,,
 
Nilifikiri niko peke yangu ila sasa imeongezeka shida ya misuli ya miguuu kukakamaa . Inauma hatari ya baba yake. Usiku ndiyo ngoma nzito .
 
Back
Top Bottom