Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa inakuwaje mtu hata kama umebanwa mafua vipi au kikohozi, yaani unapolala isingizi tu na yenyewe yanakata hata kama yalikuwa yale yanayochirizika yenyewe ila mara tu unapoamuka tu...ndo shuguri inaendelea
kwamaoni yangu, mimi naona ni kinyume chake, usingizi hukujia tuu mara upatapo nafuu ya mafua au kikohozi.Ndio maana kuna watu husema jana sikupata usingizi kwasabau ya mafua na/au kikohozi!