Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
"Kwa maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya akili timamu." 2 Timotheo 1: 7.Nimejikuta tu naogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Kwa maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya akili timamu." 2 Timotheo 1: 7.Nimejikuta tu naogopa
Nimeenda kuangalia aiseee kwenye ukurasa wao ni kwel waliupdate taarifa 19hrs agoWizara ya Afya mbona imetangaza jana
Ooh kumbe 🤔Wizara ya Afya mbona imetangaza jana
Amen 🤗🤗"Kwa maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya akili timamu." 2 Timotheo 1: 7.
Karibu uulize chochote kwa kujitibu kwa kutumia asaliKaribu kwa kuuliza chochote usichokijua khs asali katika maisha ya mwanaadamView attachment 2842944
HAPA NI ELIMU YA ASALI TU
Unakuta mtu anaasali nyingi hajui matumizi yake. Niulize chochote kuhusu asali nitakujibu hapa natoa na elimu yake
Dawa ya Asili ya Kikohozi Sugu
VIFAA
1.Kitunguu Swaumu kilicho komaa vizuri
2.Asali mbichi (ya nyuki wadogo ni bora zaidi)
3.Bakuli au kikombe safi
NAMNA YA KUANDAA
Menya punje 3 au 4 za kitunguu swaumu, kata vipande vidogo vidogo (vitwange/vipondeponde) na uchanganye kwenye kikombe kimoja cha asali (ya nyuki wado ambayo ni bora zaidi ila hata ya nyuki wakubwa inafaa)
NB:- uuache mchanganyiko huu kwa usiku mzima.
MATUMIZI
Chukua kijiko kidogo kimoja cha mchanganyiko huu na ulambe mara 2 kwa siku mpaka upone.
NB: Asali ya nyuki wakubwa ni hatari kwa watoto wenye chini ya umri wa miezi 6. Ila asali ya nyuki wadogo inafaa.
Utahitaji asali Origina ambayo imepimwa na kugundua inafaa kwa ajili ya dawa, asali nyingi zimechakachuliwa, sisi tunayo asali safi original ya kienyeji na mahsusi kwa ajili ya dawa.
ASALI YETU IMEPIMWA NA MASHINE BAADA YA KUINUNUA TOKA KWA WAKULIMA. NIKIKUUZIA PIMA NA KIBERITI KWENYE MAJI KWENYE MCHANGA UTAIKUTA SAFI, NA IMECHUJWA VIZURI KWA MASHINE.
ASALI MBICHI YA NYUKI WAKUBWA LITA MOJA NI ... 15,000/=
ASALI MBICHI YA NYUKI WADOGO LITA MOJA NI ................44,000/=
Bei hizo kwa kuwa asali ni GRADE 1, Mbichi na salama, pia mteja nampelekea popote alipo, nyumbani sokoni, kazini popote alipo kwa Dar es salaam. MIKOANI NATUMA KWENYE BUS UNAKWENDA KUPOKEA STENDI
CONTACT
0625 50 43 16
0689 55 44 38.....WHATSAPP
Tuma meseji au piga nitakujibu muda wowoteView attachment 2842200
Chukua elimuUmetoa elimu nzuri, lakini naona wewe ulitaka kututangazia kuwa unauza asasali na si kutupa elimu.
Sasa mkuu si unachukua elimu asali unaachana nayo je ningesema nauza dawa nimeshaichanganya. Asali tafuta huko ulipo tengeneza tumia dawaUmetoa elimu nzuri, lakini naona wewe ulitaka kututangazia kuwa unauza asasali na si kutupa elimu.
unaakili sana mpaka umenizidiChukua elimu
Tangazo lake lipotezee kama hauko interested
Looh! 😂😂unaakili sana mpaka umenizidi
juisiNamba zetu
0712 58 31 57
0712 58 31 57 whatsapp
Tupo kibaha picha ya ndege ila huduma unapata popote ulipo kwa urahisi mkubwa sana.
DAR tunakuletea kwenye vituo vyote vya mwendokasi, unasogea mpaka kituoni utakapochagua mteja.
Mikoa yote Tanzania tunatuma kwa uaminifu wa hali ya juu.
NB...DAWA ZETU NI ZA KIASILI 100% HAZINA MADHARA WALA CHEMICAL NI MITISHAMBA NA VIRUTUBISHO MBALIMBALI.View attachment 2848711