Hilo ni la muhimu sana watu wenye allergy kufahamu. Mara nyingi madaktari hushindwa kuelimisha vizuri waathirika kuhusu allergy, what it is, what to expect and what not to expect. Mimi niliamini kwamba dawa alizonipa daktari kazi yake ni kutibu, kumbe sio.
Vumbi la ndani huwaathiri watu wengi wenye matatizo ya allergy (Vumbi lililo kwenye mazingira ya binadamu ambalo halipati kuchomwa na jua). Sio rahisi kuepuka kabisa vumbi, ila kuna maeneo ambayo watu huyasahau mfano, carpets, frame za picha ukutani, juu ya kabati, magodoro
(wengine hulazimika kuweka cover maalum kwenye godoro na mito).
Naweza kuongezea kwamba chumba unacholala upunguze vitu vilivyohifadhiwa humo (books, boxes, etc). Chumba kipate hewa ya kutosha inayoingia na kutoka, ikiwezekana hata wakati wa kulala. Asubuhi fungua mapazia chumba kipate mwanga.
It is not uncommon for someone to be allergic to a more than two or three things. Ngozi yangu hupatwa na vipele wiki mbili kabla mvua za mwanzo za masika hazijaanza. Is that not wierd?
Soma
hapa taratibu.