MAFUA YANANITESA,NAOMBA MSAADA

MAFUA YANANITESA,NAOMBA MSAADA

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Habari wakuu,

Nimekua na aleji ya muda mrefu hasa kwa baadhi ya vitu kama sabuni zenye marashi makali,Perfumes,Mafuta ya kupaka,vumbi.na hata sehemu nikipita pana harufu kali kama uvundu au daladala nikipanda nikakosa fresh air na joto likazidi napata mafua na chafya kali.Pia nina tatizo la Macho kadri macho na nilivaa miwani kipindi fulani lakini kuna Dr alinishauri nitumie dawa kwani tatizo langu si kubwa baada ya vipimo,lakini ninapokuwa na mafua makali hata vision yangu inapungua nakuwa siwezi kuona mbali.

Nilijaribu kwenda hospital kuhusu hii aleji,madoctor wamekuwa wakiniandikia CETRIZINE/ALERID,kimsingi zimekuwa zikinisaidia sana maana inabidi nitembee nazo nikihisi tatizo nameza faster na zimekuwa na msaada kwangu,japo nilishauriwa nitumie na Tangawizi muda mwingi jambo ambalo nalifanya.

Naomba msaada kwa yeyote anayejua njia nyingine ambayo inaweza kunisaidia,maana CETRIZINE zimekuwa muhimu kwangu kutembea nazo sawa na SIMU tu,so please mwenye kujua namna yoyote na njia yoyote ambayo inaweza kuwa msaada kwangu na ikawa faida kwa wengine wenye tatizo kama langu.

Msaada wenu ni muhimu.
Asante.
 
Nna ttz kama lako tena flu niliyonayo mimi ni kali mno yale mafua yanaanguka kama maji ila dawa zinazonisaidia sana ni TOFF PLUS try them
 
Asante mkuu,nitajaribu pia cos sijawahi kuitumia hiyo
 
Back
Top Bottom