Mafua yasiyosikia dawa

Mimi pia nina mafua ya aleji hunisumbua sana lakini nikitumia dawa zinaitwa (celestomine) sijui kama nimeandika sawa wewe tamka selestomaini ni vidogo vidogo vitakuwa vinakusaidia.!
 
Mimi pia nina mafua ya aleji hunisumbua sana lakini nikitumia dawa zinaitwa (celestomine) sijui kama nimeandika sawa wewe tamka selestomaini ni vidogo vidogo vitakuwa vinakusaidia.!
Asante ntanunua
 
Lakini mafua ni ugonjwa unaosababishwa na virus, na hayana dawa.
 
Itakua allergy mkuu. Me pia nmeteseka sana mpaka nlipokuja kuambiwa na Dr mmoja kua yaweza kuwa ni mzio...akaniambia angalia hali hiyo inapokupata unakuwa karibu na vitu gani...vumbi,perfume/spray ...nk. nikaja jua kuwa spray ndo allergic kwangu...situmii spray na mafua na kuwashwa koo hakupo tena.
Kwa hiyo angalia tu mkuu kuna kitu una allergy nacho...ukikiepuka mafua yatakuacha..allergy utakunywa dawa zote,yataisha kwa muda fulani then yanarudi tena.
Solution ni kuepuka kile kinachosababisha mzio huo baada ya kukibaini
 
Umepima HIV mkuu... Maana dalili za mwanzo za HIV zinakuaga hivi wanasema immunity ya mwili inajaribu kufight kuiondoa hiyo viral infection/ au kama kuna kitu kigeni kimeingia mwilini kinga inajaribu kupambana kwa kutengeneza mafua ... Mara nyingi case za HIV huanzaga na Mafua makali yanayojirudia rudia na kupotea yenyewe... Kapime HIV boss hizi nindalili za mwanzo sana ...
 
Nilipima mwezi uliopita nikaambia damu yangu kwa ujumla ni safi sina shida yoyote ndio maana nilikuwa nahitaji dawa tofauti na za hospital
 
Kwa kuwa hauna mpenzi basi it is obvious chumbani kwako kuchafu[emoji1], jitahidi kusafisha sehemu unayolala, mchumba kiwe na hewa, fua hayo mashuka baba...mipafyumu pafyumu acha kutumia kwa mda, oga...afu leta mrejesho baada ya wiki.
 
Haya nashukuru nafanyia kazi
 
Pole rafiki...pole. Hata vile vidonge vidogo vidogo vyeupe vimekataa?? Mi dawa zilikuwa zinanigomea sio chenga, sio amoxlyn sio nini...ila vidonge viliniwezea nikapona. Ila kama nilivokwambia wakati mwingine ni vumbi na uhaba wa hewa ktk sehemu unayoishi ndo usababisha mafua kujirudia. Achana na hao wanaosema dalili za mwanzo za HIV.
Sababu ya kuleta hii mada hapa ni mafua tu hata nikikaa krb na feni au ac hali inabadilika ghafla
 
Humu jf kuna watu wanatoa elimu nzuri na tunajifunza ila wengine wanaleta masihala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…