- Thread starter
- #21
Asante sana nashukuruPitia hapa pia (1) Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua - JamiiForums Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua - JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana nashukuruPitia hapa pia (1) Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua - JamiiForums Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua - JamiiForums
Hahahahahaha, daah jf ni burudani sana aiseeTafuta mpenz awe anakukumbatia ucku
Asante ntanunuaMimi pia nina mafua ya aleji hunisumbua sana lakini nikitumia dawa zinaitwa (celestomine) sijui kama nimeandika sawa wewe tamka selestomaini ni vidogo vidogo vitakuwa vinakusaidia.!
Kwamba yamekukamata mpaka kwenye kuandika...! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bafua doba sada.
Lakini mafua ni ugonjwa unaosababishwa na virus, na hayana dawa.Mimi kila ninapoamka napata mafua tena ya chafya kali ila ikifika mchana jua kali napona kabisa. Ila na wkt wa baridi pua zinaziba pia natumia dawa za hospital napona ila baada ya siku mbili yanarudi tena.
Naomba ushauri wenu wanajamii forum nitumie vitu gani vya asili ili nitoke kwy shida hii maana dawa za hospital siponi.
Jabaa danaumwa bafua adubui khama mimi tuhBafua doba sada.
Umepima HIV mkuu... Maana dalili za mwanzo za HIV zinakuaga hivi wanasema immunity ya mwili inajaribu kufight kuiondoa hiyo viral infection/ au kama kuna kitu kigeni kimeingia mwilini kinga inajaribu kupambana kwa kutengeneza mafua ... Mara nyingi case za HIV huanzaga na Mafua makali yanayojirudia rudia na kupotea yenyewe... Kapime HIV boss hizi nindalili za mwanzo sana ...Mimi kila ninapoamka napata mafua tena ya chafya kali ila ikifika mchana jua kali napona kabisa. Ila na wkt wa baridi pua zinaziba pia natumia dawa za hospital napona ila baada ya siku mbili yanarudi tena.
Naomba ushauri wenu wanajamii forum nitumie vitu gani vya asili ili nitoke kwy shida hii maana dawa za hospital siponi.
Yaadi...bafua di shida sada.Kwamba yamekukamata mpaka kwenye kuandika...! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilipima mwezi uliopita nikaambia damu yangu kwa ujumla ni safi sina shida yoyote ndio maana nilikuwa nahitaji dawa tofauti na za hospitalUmepima HIV mkuu... Maana dalili za mwanzo za HIV zinakuaga hivi wanasema immunity ya mwili inajaribu kufight kuiondoa hiyo viral infection/ au kama kuna kitu kigeni kimeingia mwilini kinga inajaribu kupambana kwa kutengeneza mafua ... Mara nyingi case za HIV huanzaga na Mafua makali yanayojirudia rudia na kupotea yenyewe... Kapime HIV boss hizi nindalili za mwanzo sana ...
Haya nashukuru nafanyia kaziKwa kuwa hauna mpenzi basi it is obvious chumbani kwako kuchafu[emoji1], jitahidi kusafisha sehemu unayolala, mchumba kiwe na hewa, fua hayo mashuka baba...mipafyumu pafyumu acha kutumia kwa mda, oga...afu leta mrejesho baada ya wiki.
Sababu ya kuleta hii mada hapa ni mafua tu hata nikikaa krb na feni au ac hali inabadilika ghaflaHaya nashukuru nafanyia kazi
Sababu ya kuleta hii mada hapa ni mafua tu hata nikikaa krb na feni au ac hali inabadilika ghafla
Humu jf kuna watu wanatoa elimu nzuri na tunajifunza ila wengine wanaleta masihalaPole rafiki...pole. Hata vile vidonge vidogo vidogo vyeupe vimekataa?? Mi dawa zilikuwa zinanigomea sio chenga, sio amoxlyn sio nini...ila vidonge viliniwezea nikapona. Ila kama nilivokwambia wakati mwingine ni vumbi na uhaba wa hewa ktk sehemu unayoishi ndo usababisha mafua kujirudia. Achana na hao wanaosema dalili za mwanzo za HIV.