Mafumbo na picha zilizo katika nyimbo mpya ya Beyonce na jay z

Th3the

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
1,327
Reaction score
1,779
Kwa wajuzi wa mambo ...Yale mapicha na mafumbo yote katika nyimbo ya mpya inayoitwa APES_T -The Carters yanamaanisha nini ...sababu naona kama kuna siri nzito zimejificha hapo ....
 
mambo ya masonia hayo mkuu

ni maoni yangu lakini
 
Mkuu kama ni siri nzito basi na sisi hatuwezi kuijua...maana mtu huwezi kuweka siri nzito ili tu ije kufumbuliwa na jamaa flani wa bongo
Wabongo wana akili nyingi sn wanaweza kuyafumbua mafumbo mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…