Mafumbo na picha zilizo katika nyimbo mpya ya Beyonce na jay z

Mafumbo na picha zilizo katika nyimbo mpya ya Beyonce na jay z

Wabongo ni magenius sana tatizo wengi tulisoma arts coz tungekuwa Pluto now....
 
Mkuu kama ni siri nzito basi na sisi hatuwezi kuijua...maana mtu huwezi kuweka siri nzito ili tu ije kufumbuliwa na jamaa flani wa bongo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] nimejikuta nacheka
 
Kwa wajuzi wa mambo ...Yale mapicha na mafumbo yote katika nyimbo ya mpya inayoitwa APES_T -The Carters yanamaanisha nini ...sababu naona kama kuna siri nzito zimejificha hapo ....
ni sanaa tu hamna lolote...ni sawa na bongo muvi, au hollywood...producer akipata idea basi vijana wanaingia mzigoni
 
Kwa wajuzi wa mambo ...Yale mapicha na mafumbo yote katika nyimbo ya mpya inayoitwa APES_T -The Carters yanamaanisha nini ...sababu naona kama kuna siri nzito zimejificha hapo ....
Lipia tangazo, maana tayari umenipeleka youtube kuanzangali
 
Hahahaa.. Jay Z na mkewe wameamua kuja tofauti, kwa kuchukua videos zao kwenye makumbusho mbalimbali duniani. Hakuna kipya hapo. Kwani picha ya Monalisa haijulikani?
 
Back
Top Bottom