Mafundi, Kutengeneza kitanda hiki Sh. ngapi?

Mafundi, Kutengeneza kitanda hiki Sh. ngapi?

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Chini ni futi 4*6,
Juu ni futi 3*6.
Nijuzeni gharama yake.
Metal-Bunk-Bed-Twin-XL-Over-Queen-Bunk-Beds-with-Full-Length-Rail-and-Ladder-Heavy-Duty-Bunk-B...jpg
 
Inategemea kama unakuja na material kila kitu hapo mi nafanya kazi tu malipo baada ya kutumia kwa mwaka kwanza
 
Kwakuwa nahitaji kutengeneza brand nitakufanyia 230000 nifate pm nikuelekeze vifaa vya kununua
 
Back
Top Bottom