Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 951
Mkuu nitumie hiyo namba, naisubiri.ungekuwa dar ningekutatulia hiyo shida ila ngoja nikutumie namba ya fundi wa huko mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nitumie hiyo namba, naisubiri.ungekuwa dar ningekutatulia hiyo shida ila ngoja nikutumie namba ya fundi wa huko mwanza
Dar sehem gani mkuu, weka contactsungekuwa dar ningekutatulia hiyo shida ila ngoja nikutumie namba ya fundi wa huko mwanza
HIZO MASHINE NIKAMA SIMU VILE ila angalia usije ukaangukia pua tyuu.Salaama wadau,mi nataka kufahamu kuhusu obd2 diagnosis machine,bei zake zikoje,wapi zinauzwa,ubora na uwezo,bila kusahau ushauri wa machine ipi nzuri kwa Kazi.