lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Natumai mko poa....
Wandugu mnisaidie ktk Moja na mbili kibishi Kuna eneo likubwa tu nikalipata ...likanikwangua ....ila lenyewe thamani si inapanda....hainiumizi
Ni karibu ekari Moja na robo hivi ...Kuna watu washavuta nyumba pembezoni wameingilia eneo karibuni wawili wao....ukiwauliza wanajiuma uma tu nikaona tusipotezeane muda Mimi niwe mjinga..
Nilichoamua kwakuwa sipauzi na kiukwel sitapajenga karibuni walau nizungushie Uzio tu...nimefanya research kidogo na nimeongea na mafundi budget wananipa mpaka 5m....nami nilihitaji tu kitu simple as simple Cha kutokusogelewa eneo langu budget yangu ni Imillion na nusu hivi naombeni ushauri mafundi mliomo Humu nifanyeja? Fensi gani ya kawaida itafaa kuendana na budget yangu natanguliza shukrani.