Mafundi mzuri wa lori scania

Mafundi mzuri wa lori scania

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Natafuta mafundi wazuri wa malori aina ya scania kwa maeneo ya Dar es salaam.
 
nenda temeke mwisho ccm muulizie askofu yuko safi sana nimefanya naye kazi mpk leo!
 
naomba Namba zao za simu tafadhari
 
Watu wanazikimbia scania siku hizi-spare zake mchina anachakachua sana!
 
Asante ndugu Nitampigia
 
Duh, kuna mtu hapa Bukoba anaitwa Scania ni nomaaaa, kwa Scania na wake za wenzie
 
Back
Top Bottom