Unamwambia MTU Bei ya KITU flani 40000 akikudeshi kama anauliza mara ya pili unapandisha unahisi hakusikia mwanzo ?
Jitahidini manpotamla Bei MUWE na misimamo.
Mwingine akasema Bei ya kutengeneza KITU ni kiasi flani alipo maliza kikafanya kazi anapandisha Bei anaanza kubembeleza nakufosi fosi Bei ambazo hamkukubaliana mwanzo.
Mwingine anakuona umependeza anajua ni mtoto WA geti Kali au WA kishua WA anakupa Bei ya vitu used Kwa ma Bei ya vitu vipya.
Yaani unamuuzi MTU s23 used Kwa Bei ya mpya au KITU chochote used Kwa Bei ya mpya , sikia MPAKA MTU kukufata wewe jua kapita kote panga Bei YAKO KIUSAHIHI acha kuuza Kwa hisia unahisi huyu tajiri na huyu maskini ? Kama hujui matajiri WENGI NDO maskini WA kwanza usije dhani Kwa SABABU bakiresa SIJUI baresa kaka kwako kununua bidhaa AMBAYO Bei yake ni 10000 wewe UNATAKA umpige MILIONI nzima.
Jifunzeni wafanya biashara WENGI hawafanikiwi SABABU ya tamaa.
Kuna masoko ya nguo na viatu hasa Yale ya mwanza na dodoma AISE mitumba inauzwa Bei KITU kipya.
Kiatu og labda snicker flani ya elfu 80 au 120k mpya kule unakuta used Bei hiyo hiyo au zaidi.