saede mbondela
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 368
- 237
kiwanja kipo kakUnataka kujenga sehemu gani? Kiwanja unacho?
acha masihara bhana.Mil 25 ikiwa kiwanja unacho
kiwanja kipo ndgUnataka kujenga sehemu gani? Kiwanja unacho?
Nyingi sana hiyo. Aseme yuko wapi? Je sehemu alipo naweza kutumia Rasilimali zake kwa ajili ya kuanza ujenzi? Je nakiwanja? tofali gani zinatumika huko? Ni za kuchoma au Block? Udongo wake ukoje? je anaweza utumia kama mortal.Mil 25 ikiwa kiwanja unacho
acha masihara bhana.
Wazee nafikiria kuanza maisha nikiwa na kibanda changu.
Nijiandae na kiasi gani ili niweza kujenga vyumba 2 na seble toi na jiko humohumo.
Kuongea ukweli kabisa hapo mpaka unaingia ndani bila wasiacha masihara bhana.
nipo maeneo ya salasala pia nipo karibu na mchanga vilevle nipo karib na wafyatua matofaliNyingi sana hiyo. Aseme yuko wapi? Je sehemu alipo naweza kutumia Rasilimali zake kwa ajili ya kuanza ujenzi? Je nakiwanja? tofali gani zinatumika huko? Ni za kuchoma au Block? Udongo wake ukoje? je anaweza utumia kama mortal.
nipo salasala kaka maligafi iliyopo hapa kwang ni mchanga tuUko wapi? Ujenzi pia inategemea na mahali ulipo na malighafi zinazokuzunguka.
nimeipenda plan yakoAnza na chumba kimoja na choo then angalia salio km linasoma unamalizia na jiko, sebule na room ya pili
hiyo nyumba yako ina ukubwa kiasi gan na mpaka kukamilika kwake ulitumia sh ngapiWeka details za kutosha watu wakusaidie.
Nimeanza kujenda nikiwa na sh 300,000 tu. Na kwenye nyumba hiyo sasa hivi watu wanaishi na nakula kodi ya 250,000 kwa mwezi.