nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Bado gharama za choo pia
kuchimba na kujenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado gharama za choo pia
Jana nikiwa na mzee nilifunguka kuhusu hili swala akaniambia hivi
nisiwaze kujenga nyumba ndogo kwa kua nyumba ya kuishi io ni bora ukajipanga zaii ili ukijenga uwe umejenga kabisa kuliko kujenga saizi kisha baada ya muda uwe na haja ya nyumba nyingine kubwa zaidi.we ungefanyaje
IgweeeeeTafut hapo milion 6 mkuu nyumba utaishi,kumbuka ujenzi hauishagi bali unasema imefaa kuishi
Amen for that! hasa sentensi ya mwisho!!Tafut hapo milion 6 mkuu nyumba utaishi,kumbuka ujenzi hauishagi bali unasema imefaa kuishi