Mafundi na wataalamu wa ujenzi nipe mawazo

Mafundi na wataalamu wa ujenzi nipe mawazo

Nyumba kubwa inaita pesa nyingi Anza nyumba ndogo ingia Anza kupambana na maisha as long as haulipi kodi basi hiyo nyumba Kubwa Anza nayo mdogo mdogo siku ukiwa ovyo unaipotezea ukikaa sawa unaendelea tena na ujenzi

Kumbuka Kuna watu walikuwa na kipato wakaogopa kujenga nyumba ndogo wakawa wanasubilia kujenga nyumba kubwa ila mpaka sasa hawana nyumba kubwa wala hiyo ndogo so fanya liwezekanalo leo
Jana nikiwa na mzee nilifunguka kuhusu hili swala akaniambia hivi
nisiwaze kujenga nyumba ndogo kwa kua nyumba ya kuishi io ni bora ukajipanga zaii ili ukijenga uwe umejenga kabisa kuliko kujenga saizi kisha baada ya muda uwe na haja ya nyumba nyingine kubwa zaidi.we ungefanyaje
 
Back
Top Bottom