Hamisi kiogwe
Member
- Jul 19, 2015
- 31
- 3
Kiwanja si unacho? Think of simple house ambayo haitatumia zaidi ya matofali 1500. Vyumba viwiwli, choo, jiko na sebure. Anzia hapo, utafanikiwa tu.nipo maeneo ya salasala pia nipo karibu na mchanga vilevle nipo karib na wafyatua matofali
Vyumba viwili kimoja master, sitting Room, jiko na store na public toilet.hiyo nyumba yako ina ukubwa kiasi gan na mpaka kukamilika kwake ulitumia sh ngapi
binafsi nina plot na mchanga wa kutosha
Wazee nafikiria kuanza maisha nikiwa na kibanda changu.
Nijiandae na kiasi gani ili niweza kujenga vyumba 2 na seble toi na jiko humohumo.
lete pesa nikuchoree ramani unayo itaka!ni PMWazee nafikiria kuanza maisha nikiwa na kibanda changu.
Nijiandae na kiasi gani ili niweza kujenga vyumba 2 na seble toi na jiko humohumo.
aina noma nimekupata kakaKwanza kabisa tafuta wa taarabu kama Mimi,
Kisha wajue upo eneo gani, watambue gharama za material za eneo husika Kisha watachora ramani ambayo wewe na kipato chako unaweza I jenga.
0754686286 nitafute nikujuze mimi nimtaaramu wa ujenzi na uchoraji kwa ujumla.
aha jamaa nia arch tech ee??? basi usijali mzeelete pesa nikuchoree ramani unayo itaka!ni PM
Wadau wamekupa somo zuri sana anza mdogo mdogo usiutumie ushauri wa huyu mzee na kumbuka kwako kwako tu..Jana nikiwa na mzee nilifunguka kuhusu hili swala akaniambia hivi
nisiwaze kujenga nyumba ndogo kwa kua nyumba ya kuishi io ni bora ukajipanga zaii ili ukijenga uwe umejenga kabisa kuliko kujenga saizi kisha baada ya muda uwe na haja ya nyumba nyingine kubwa zaidi.we ungefanyaje
haya bhana.respectWadau wamekupa somo zuri sana anza mdogo mdogo usiutumie ushauri wa huyu mzee na kumbuka kwako kwako tu..
Msiogopeshe watu nyie.m25 sio lazima hata kama una m 4 inatosha tuMil 25 ikiwa kiwanja unacho
Huyu pengine ni mwenzanguKwa hiyo bado hujaanza maisha mkuu
Matofali 1000=1,100,000Wazee nafikiria kuanza maisha nikiwa na kibanda changu.
Nijiandae na kiasi gani ili niweza kujenga vyumba 2 na seble toi na jiko humohumo.
aminia kaka.mananilishaanza kusita katikampango wang sasaem nipe mchanganuo wa m 4Msiogopeshe watu nyie.m25 sio lazima hata kama una m 4 inatosha tu
safi.nimukubali kakaMatofali 1000=1,100,000
Mchanga trip 2 ndogo zatosha=120,000 x 2=480,000
maji=itategemea upo wapi
cement mifuko 20 tosha=12,000x20=utamalizia
gharama ya fundi tafuta mnywaji....mtakwenda sawa........
nop bado nipo kwa mzee ndomana nikasema sijaanza maisha but kiujumla maisha nitangumtu anapozaliwaHuyu pengine ni mwenzangu
Bado milango na madirishasafi.nimukubali kaka
ookBado milango na madirisha
pia kupauwa
gharama huwa kubwa kutokana na uhitaji lakini kwa kifupi room 2
kilo3
waezeka na kumilangosha