Kuna hii style ya kushona nguo titi linakuwa halielewek linatoka au limebanwa aseeh wanawake mnakosha sana 😂Ndiomaana sipendi kushona aisee, au bora utafute mafundi wanaofahamika kwa kazi nzuri kuliko kujiokotea hawa wa vichochoroni, wengi ni mafundi njaa tu.
Na bado😅Kuna hii style ya kushona nguo titi linakuwa halielewek linatoka au limebanwa aseeh wanawake mnakosha sana 😂
Mlikuja na ile ya mpasuo mbele naona hainogi ikapotezewa sasa mpasuo pembeni ya paja afu uwe na upaja broiler
Hahahaaa ndio maana hii mishono nikiiona na chanyikiwa!Kuna hii style ya kushona nguo titi linakuwa halielewek linatoka au limebanwa aseeh wanawake mnakosha sana
Mlikuja na ile ya mpasuo mbele naona hainogi ikapotezewa sasa mpasuo pembeni ya paja afu uwe na upaja broiler
Dunian kuna mambo ya ajabu hata shetan anaogopa
Mambo ni mengi mno🙌🏾Dunian kuna mambo ya ajabu hata shetan anaogopa
Njoo nikushenee wewe acha vurugu zako.Ndiomaana sipendi kushona aisee, au bora utafute mafundi wanaofahamika kwa kazi nzuri kuliko kujiokotea hawa wa vichochoroni, wengi ni mafundi njaa tu.
Usiniambie na kushona unajua? Yani wewe unapewa vipaji vyote wengine tukikosa hata cha usanii tu🥹Njoo nikushenee wewe acha vurugu zako.