X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Nilikuwa na simu yangu.... VIWA MAX...ilipata creack ya kioo cha nje...niliifungua nikaenda kununua kioo cha nje ila nilipata sana shida kukipata...
Kipindi naifunga hii simu bahati mbaya kioo cha ndani kikapata creack nacho na kikajimwagia wino...
Je naweza kupata kioo cha ndani...maana nilihangaika sana kupata kioo cha nje...naomba mnisaidie je vioo vya ndani vinaweza kuingiliana¿
Yani kioo cha ndani cha huawei kwenda tekno¿?
Asante...hii simu ni Viwa...nimetafuta sana kioo cha nje tuu kilinipa shida sanaVioo vya ndani (LCD/LED) haviingiliani. Hali kadhalika vioo vya nje (Touch screen) haviingiliani.
Upatikanaji wa vioo hivyo naamini vinapatikana, just zunguka mitaa ya Agrey kariakoo unaweza pata.
Ukikosa dukani,,, Tafuta kwa mafundi hardware huwezi kosa kabisa, huwa wanakua na spears za baadhi ya simu ambazo ni pasua kichwa kuzipata madukani au carlcare....Asante...hii simu ni Viwa...nimetafuta sana kioo cha nje tuu kilinipa shida sana
Asante...ubarikiwe sanaUkikosa dukani,,, Tafuta kwa mafundi hardware huwezi kosa kabisa, huwa wanakua na spears za baadhi ya simu ambazo ni pasua kichwa kuzipata madukani au carlcare....
Kama una shida Sema usaidiweDah hii case haikupata solution
Kama una shida Sema usaidiweDah hii case haikupata solution
shida imejieleza juu hapo....soma kisha toa msaadaKama una shida Sema usaidiwe