Tetesi: Mafundi simu msaada tafadhali

Tetesi: Mafundi simu msaada tafadhali

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,400
Reaction score
14,339
Nilikuwa na simu yangu.... VIWA MAX...ilipata creack ya kioo cha nje...niliifungua nikaenda kununua kioo cha nje ila nilipata sana shida kukipata...
9868536efed6ac72c932707db4d67f9e.jpg

Kipindi naifunga hii simu bahati mbaya kioo cha ndani kikapata creack nacho na kikajimwagia wino...
6c3a881cda527536c59ff3dd5ddde09b.jpg

Je naweza kupata kioo cha ndani...maana nilihangaika sana kupata kioo cha nje...naomba mnisaidie je vioo vya ndani vinaweza kuingiliana¿
Yani kioo cha ndani cha huawei kwenda tekno¿?
 
Vioo vya ndani (LCD/LED) haviingiliani. Hali kadhalika vioo vya nje (Touch screen) haviingiliani.

Upatikanaji wa vioo hivyo naamini vinapatikana, just zunguka mitaa ya Agrey kariakoo unaweza pata.
 
Asante...hii simu ni Viwa...nimetafuta sana kioo cha nje tuu kilinipa shida sana
 
Ukikosa dukani,,, Tafuta kwa mafundi hardware huwezi kosa kabisa, huwa wanakua na spears za baadhi ya simu ambazo ni pasua kichwa kuzipata madukani au carlcare....
 
Asante...ubarikiwe sana
 
Kaka kama una kabalance nunua simu halafu utafute hicho kioo taratibu utapata tu kwa mafundi kama upo mjini
 
Back
Top Bottom