Whitney Houston
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 216
- 404
Em ngoja niangalie tena,sehemu ya clear data mbona sikuiona.Nimeitafuta sanaumejaribu ku clear data kwenye app setting?
Hiyo inakuwa kama ume reset app, kwani majina yapo kwenye simu au simcard?Kwenye setting,clear data hakuna,ila nimeona 'clean up storage',nimejaribu kupress ikaniletea list ya apps zote.Nimepata wasiwasi,niki click contacts majina na namba havitafutika mkuu? Au email hazitafutika zote?Baadhi ya email bado zinakazi,nahitaji kufuta baadhi tu. Scars
oh,sawaHiyo inakuwa kama ume reset app, kwani majina yapo kwenye simu au simcard?
Kama kwenye email si utalog in na ku sync tena
jaribu ku update hyo Gmail app, upande wa contacts tumia app ya google, Google Contacts iko njema sana.Nime clean up storage mkuu,bado shida haijaondoka
Nimefanikiwa upande wa contacts,ahsante.jaribu ku update hyo Gmail app, upande wa contacts tumia app ya google, Google Contacts iko njema sana.