Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Nimependa jinsi unavyokomaa katika hardware, lakni tambua mambo yafuatayo katika kuflashi simu yanayowashinda watu wa software..

1: Walio wengi hawajui driver zipi za kutumia wakati wa kuflash au namna ya kuzi-install hapa hadi ujue namna ya kufunga driver signature katika windows. Kuna driver tofauti kulingana na cpu ya simu kuna fastboot driver, adb driver, cdc driver,cpu driver nk na zote ni kwa ajili ya simu moja kulingana na unachotaka kufanya katika simu husika. Bila driver utaishia kusema simu haisomi.

2: Katika kuflash inabidi uwe na usb cable nyingi halafu origino, ikitokea ukaunganisha isisome au ikakwambia usb haitambuliki badilisha usb nyingine (hii imenitokea mara nyingi baada ya kubadilisha usb nyingine simu inakubali).

3: Uchafu au vumbi katika usb port ya simu. Ni vema ukasafisha na benzini kwanza ili kuondoa vumbi. Pia inabidi utambue boot key za kutumia wakati wa kuunganisha simu na usb sio simu zote zinazotumia power key. Hapa unaweza ukashangaa unachomeka usb simu inaanza kuchaji.

4: Mwisho kabisa usitegemee flashing box pekee kwamba litamaliza tatizo lako la simu, tumia tools mbalimbali kulingana na simu.

Ukiambiwa na fundi software kwamba memory imekufa yeye kama yeye hawezi kuiflash. Simu zinatumia memory ambayo ndo inabeba os ni kama vile kompyuta inavyotumia hdd kuwekewa windows, ile memory ikifa ukipata nyingine kama ile unaweza ukabadilisha na ukaiflash simu yako.
 
Mafundi wengi wa hardware hawajui pia kupima vitu/vipuli(components) ni wavivu wa kufikikiri wanakimbilia kuflash
 
Hapa mkuu unanisema hah hah hah hah
wengine hata km betri terminal zina short mbio kwenda kuflash
 
Ila mafundi wengi wa software za sim ni selfish sana hawapo tayar kuelekeza wenzao kujua jambo fulani
Hii ya uchoyo ni kweli kuna fundi nilimuomba anielekeze kuchoma rx na tx nokia 108 ili niiflash, ilikuwa ukiiwasha inawaka kwa bring na kuzimika akasema hata yeye amesahau namna ya kuzichoma wakati nilikua namkuta ofisini kwake anaziflash kwa rx na tx.

Na ni wengi ambao niliwaomba msaada lakni hakuna alieonesha ushirikiano na mimi niliamua kukomaa mwenyewe hadi leo hii sitaki kumuuliza mtu chochote. Hao hao leo hii wanakuja kwangu na kuna mmoja frp huwa zinamshinda anakuja kwangu namua kumtolea bila hiana lakni yeye nikimpelekea kazi ananilipisha.
 
na kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
Mkuu swali langu nilikuwa naomba unipe solution ya maiki tecno t340 kwa njia ya picha

pili unipe solution ya tecno h6 ambayo haijazi betri chaji kwa njia ya picha

NATANGULIZA SHUKRANI
 
kama kuna fundi simu anayeishi bila kudaiwa salute kwenu mafundi waaminifu
Kama sio tapeli utaanzaje kudaiwa? Akileta simu kama iko ndani ya uwezo wangu wa kupona namwambia bei akiafiki namwambia kama hauna shughuli zingine subiria hapahapa uondoke nayo. Maana kwenye simu kuna lawama nyingi sana, mfano unaflash simu logo inabadilika anakwambia simu siyo yenyewe na haitaki hata umuelewesheje haamini anajua umemuibia.

Au kaleta simu imezimika unaiflash inawaka kumbe ilikuwa na tatizo lingine la sipika, maiki au batani anakomaa kwamba simu yake ilikuwa nzima labda umeibadilisha usitaarabu usipotumika hapo mteja anakuona tapeli.
 
Safi sana tena unapotengeneza mteja anakuona inajenga imani 'It builds confidence to a customer'
 
Mkuu swali langu nilikuwa naomba unipe solution ya maiki tecno t340 kwa njia ya picha

pili unipe solution ya tecno h6 ambayo haijazi betri chaji kwa njia ya picha

NATANGULIZA SHUKRANI
Kwa upande wangu nilikuwa na tecno h6 ilikuwa haijazi chaji nilibadilisha mkanda wa kutoka kwenye saketi ile ndogo inayobeba spika na maiki kwenda saketi kubwa tatizo likaisha jaribu na wewe labda utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom