Hapana mkuu ni ghafla tuhiyo simu iliingia maji?
Mafundi wengi wa hardware hawajui pia kupima vitu/vipuli(components) ni wavivu wa kufikikiri wanakimbilia kuflashNimependa jinsi unavyokomaa katika hardware, lakni tambua mambo yafuatayo katika kuflashi simu yanayowashinda watu wa software..
1: Walio wengi hawajui driver zipi za kutumia wakati wa kuflash au namna ya kuzi-install hapa hadi ujue namna ya kufunga driver signature katika windows. Kuna driver tofauti kulingana na cpu ya simu kuna fastboot driver, adb driver, cdc driver,cpu driver nk na zote ni kwa ajili ya simu moja kulingana na unachotaka kufanya katika simu husika. Bila driver utaishia kusema simu haisomi.
2: Katika kuflash inabidi uwe na usb cable nyingi halafu origino, ikitokea ukaunganisha isisome au ikakwambia usb haitambuliki badilisha usb nyingine (hii imenitokea mara nyingi baada ya kubadilisha usb nyingine simu inakubali).
3: Uchafu au vumbi katika usb port ya simu. Ni vema ukasafisha na benzini kwanza ili kuondoa vumbi. Pia inabidi utambue boot key za kutumia wakati wa kuunganisha simu na usb sio simu zote zinazotumia power key. Hapa unaweza ukashangaa unachomeka usb simu inaanza kuchaji.
4: Mwisho kabisa usitegemee flashing box pekee kwamba litamaliza tatizo lako la simu, tumia tools mbalimbali kulingana na simu.
Ukiambiwa na fundi software kwamba memory imekufa yeye kama yeye hawezi kuiflash. Simu zinatumia memory ambayo ndo inabeba os ni kama vile kompyuta inavyotumia hdd kuwekewa windows, ile memory ikifa ukipata nyingine kama ile unaweza ukabadilisha na ukaiflash simu yako.
Hapa mkuu unanisema hah hah hah hahMafundi wengi wa hardware hawajui pia kupima vitu/vipuli(components) ni wavivu wa kufikikiri wanakimbilia kuflash

wengine hata km betri terminal zina short mbio kwenda kuflashHapa mkuu unanisema hah hah hah hah
inategemea 'it is a world of competition' ndiyo maana mimi nimetoa angalizo kwamba nitakuwa na mipakaIla mafundi wengi wa software za sim ni selfish sana hawapo tayar kuelekeza wenzao kujua jambo fulani
Hivi mkuu mimi nakaa Chanika wewe unakaa Bunju ukinimegea ujuzi kuna tatizo la mashindano hapo?inategemea 'it is a world of competition' ndiyo maana mimi nimetoa angalizo kwamba nitakuwa na mipaka
Lazima ulipe hata wewe unakuwa huruHivi mkuu mimi nakaa Chanika wewe unakaa Bunju ukinimegea ujuzi kuna tatizo la mashindano hapo?
Hii ya uchoyo ni kweli kuna fundi nilimuomba anielekeze kuchoma rx na tx nokia 108 ili niiflash, ilikuwa ukiiwasha inawaka kwa bring na kuzimika akasema hata yeye amesahau namna ya kuzichoma wakati nilikua namkuta ofisini kwake anaziflash kwa rx na tx.Ila mafundi wengi wa software za sim ni selfish sana hawapo tayar kuelekeza wenzao kujua jambo fulani
Sina utata katika hilo ila sidhani kama nawe ulilipia kila kityLazima ulipe hata wewe unakuwa huru
There not straight and most of them not competent and not using right tools 'Wateja pia mnachangia unaambiwa 10,000 unataka ulipe bk3kama kuna fundi simu anayeishi bila kudaiwa salute kwenu mafundi waaminifu
Mkuu swali langu nilikuwa naomba unipe solution ya maiki tecno t340 kwa njia ya pichana kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
Kama sio tapeli utaanzaje kudaiwa? Akileta simu kama iko ndani ya uwezo wangu wa kupona namwambia bei akiafiki namwambia kama hauna shughuli zingine subiria hapahapa uondoke nayo. Maana kwenye simu kuna lawama nyingi sana, mfano unaflash simu logo inabadilika anakwambia simu siyo yenyewe na haitaki hata umuelewesheje haamini anajua umemuibia.kama kuna fundi simu anayeishi bila kudaiwa salute kwenu mafundi waaminifu
Safi sana tena unapotengeneza mteja anakuona inajenga imani 'It builds confidence to a customer'Kama sio tapeli utaanzaje kudaiwa? Akileta simu kama iko ndani ya uwezo wangu wa kupona namwambia bei akiafiki namwambia kama hauna shughuli zingine subiria hapahapa uondoke nayo. Maana kwenye simu kuna lawama nyingi sana, mfano unaflash simu logo inabadilika anakwambia simu siyo yenyewe na haitaki hata umuelewesheje haamini anajua umemuibia.
Au kaleta simu imezimika unaiflash inawaka kumbe ilikuwa na tatizo lingine la sipika, maiki au batani anakomaa kwamba simu yake ilikuwa nzima labda umeibadilisha usitaarabu usipotumika hapo mteja anakuona tapeli.
Kwa upande wangu nilikuwa na tecno h6 ilikuwa haijazi chaji nilibadilisha mkanda wa kutoka kwenye saketi ile ndogo inayobeba spika na maiki kwenda saketi kubwa tatizo likaisha jaribu na wewe labda utafanikiwa.Mkuu swali langu nilikuwa naomba unipe solution ya maiki tecno t340 kwa njia ya picha
pili unipe solution ya tecno h6 ambayo haijazi betri chaji kwa njia ya picha
NATANGULIZA SHUKRANI
Na ic ya kucharge pia inasababishaKwa upande wangu nilikuwa na tecno h6 ilikuwa haijazi chaji nilibadilisha mkanda wa kutoka kwenye saketi ile ndogo inayobeba spika na maiki kwenda saketi kubwa tatizo likaisha jaribu na wewe labda utafanikiwa.
Kwenye hardware sikomai sana labda kubadilisha spea kama sipika, maiki, vioo na system chaji tu sehemu zingine nashindwa maana sijui kutumia mita, najikita sana kwenye software tu.Na ic ya kucharge pia inasababisha