Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Natafuta circuit ya Nokia lumia 635 pamoja kioo cake, kioo cha Asus zenfone 6
nicheck hapa 0655090000

Send via Quan dong fen from north Korea
 
na kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
Naomba kuulza kuna ujzi wa aina yyte kuhusu Tecno au itel hzi batan mteja anapokuwa amesahau Password alzweka tofaut kuiflash?
 
Mimi ni fundi wa software na hadware pia nilianza na hardware Nina nafasi ya kujibu kotekote lakini nitakuwa na mipika
heloo mimi ni fundi wa simu ila leo nimeletewa pc(laptop) inatatizo la kuwaka halafu inazima baada ya kama nusu saa fan yake inazunguka taratibu nini tatizo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
na kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
Habari Mkuu naomba kufahamu bei ya betri ya tecno w5 na kama naweza pata msaada wa tutorial hivi or aid of pics ili nibadili betri mwenyewe nikishanunua mkuu,samahani kwa usumbufu.ahsanteh
Maana nimetafuta google na youtube sijapata tutorial
 
Jamani wadau natafuta sakit ya Nokia lumia 635 single line
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…