Zugak17
JF-Expert Member
- Aug 9, 2014
- 1,171
- 384
Nipo Dsmmimi nipo kibaha cjui wew uko wapi, km vp tuwacliane kwa 0714323127
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Dsmmimi nipo kibaha cjui wew uko wapi, km vp tuwacliane kwa 0714323127
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuchekiane InboxKuna kijana wangu anapenda sana kazi hizo bt anataka fanye soft ware box gani ambayo anaweza kuitumia kwa sasa hasa kwa hizi chinese product kama tecno,itel and co lakin pia iweze kufanya kazi kwa sony,huawei htc na samsung
[emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji1] [emoji9] [emoji1]Nadhani hujui chochote kuhusu ufundi wewe kaendelee kuwa muimba mapambio ya kusifu na kuabudu kule jukwaa la siasa
Simu aina gan na model yake ni ip???Msaada cm yangu haipigi camera ya nyuma baada ya kuingia kwenye maji nmeipuliza nimeinika bado wiki ya pili sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
hii njia imegoma kabisa kwenye t340 ila ya mwanzo iko vizuri![]()
Hahiyo solution yasimu za MTK ambazo zinatumia mic za analogy
Cha kufanya ukiona kila mic ambayo unaweka haifanyi kazi chukua mita pima njia za mic ziliko tokea harafu ng,oa diod zote zinazoleta moto kwenye mic
Harafu piga direct
Hapo mic lazima ifanye kazi.
Hata kama Ikigoma kwenye hiyo t340 najua lazima ikubali kwenye simu yoyote ya mtk inayo tumia mic ya analogy.hii njia imegoma kabisa kwenye t340 ila ya mwanzo iko vizuri
sawa mkuuHata kama Ikigoma kwenye hiyo t340 najua lazima ikubali kwenye simu yoyote ya mtk inayo tumia mic ya analogy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tfuta file ambayo ni latest ndo uitumie kuflash, au waeza tafuta w3 inayofanya kaz,ukafanya backup yake kisha utaamshia io yako
Uwzekano wa kupona upo, tafta official rom yakeNina huawei yangu y330 inawaka lakini haimalizi inaishia kwenye jina tu la huawei, sasa nimejaribu ku flash lakini bado tatizo lipo pale pale. Sasa wakuu anaejua tatizo ni nini? Na labda kuna uwezekano wa kupona?
Ukisema kioo unamaanisha nn!!! Alafu motorola zipo model nyng. Taja model tafadhari.simu yangu ya Motorola imeanguka kioo kinacrack ila display na touch vipo vizuri tu yaani ina sense na inaonesha vizuri tu kama ilivokuwa haijaanguka ila nataka niagize kioo ili nibadilishe sasa nimefanya ka utafiti kadogo mitandaoni nimeona kuna ukinzani wa hoja kuwa ni lazima ununue full lcd digitizer hata kama display ipo vizuri sasa inawezekana kununua tu kioo then ikarekebishika?
MSAADA WAKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio
Mm nilisoma computer engineering, so nilisoma vingi kuhusu technology, swala la software za sim ckuwah soma darasani vitu vingi nimejifunza baada ya kuface matatizo mpk kujikuta fundi mzur, i am good at computer software na hardware kuliko sim