Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

ff447aae82ddcbc35a8ec8c92ca3dd84.jpg
Msaada natafuta kioo cha microstoft 425
 
Natafuta circuit ya samsung galaxy note 1

Post sent using JamiiForums mobile app
 
km kuna group la whatsapp linayohusu mambo haya ya hardware,niwekeeni link yake hapa nijiunge.
 
NATAFUTA SONY EXPERIA M2 SINGLE LINE
ILIYOZIMA AU ILIYOKUFA
NICHECK HAPA 0655090000

Send by Siemens c25 from Kwai Tai mai - Bangkok
 
Mm nilisoma computer engineering, so nilisoma vingi kuhusu technology, swala la software za sim ckuwah soma darasani vitu vingi nimejifunza baada ya kuface matatizo mpk kujikuta fundi mzur, i am good at computer software na hardware kuliko sim
Kuna kijana wangu anapenda sana kazi hizo bt anataka fanye soft ware box gani ambayo anaweza kuitumia kwa sasa hasa kwa hizi chinese product kama tecno,itel and co lakin pia iweze kufanya kazi kwa sony,huawei htc na samsung
 
Back
Top Bottom