Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

a86ccace78eb5358f2e8eba2e7e619f2.jpg

Hahiyo solution yasimu za MTK ambazo zinatumia mic za analogy

Cha kufanya ukiona kila mic ambayo unaweka haifanyi kazi chukua mita pima njia za mic ziliko tokea harafu ng,oa diod zote zinazoleta moto kwenye mic
Harafu piga direct

Hapo mic lazima ifanye kazi.
Hata vispd mzee hii inaweza fanya kazi. Hongera mzee
 
Wakuu nahitaji display ya samsung galaxy note 3 N900. Na pia kuna note 3 n9005 imekufa imei. msaada wakuu
 
Nina huawei yangu y330 inawaka lakini haimalizi inaishia kwenye jina tu la huawei, sasa nimejaribu ku flash lakini bado tatizo lipo pale pale. Sasa wakuu anaejua tatizo ni nini? Na labda kuna uwezekano wa kupona?
 
We fundi au mtumiaji wa kawaida???
 
Wakuu msaada display ya hii simu...
c2441376bbb8b9573114464be486fce5.jpg
 
mi nina tecno W3 katika alakati za kuiflash ilizama lakn niki connect kwenye pc inaonekana kwenye divaic sasa je kunauwezekano wakuwaka tena na ni firmware ipi inaweza nisaidia ikawaka
 
mi nina tecno W3 katika alakati za kuiflash ilizama lakn niki connect kwenye pc inaonekana kwenye divaic sasa je kunauwezekano wakuwaka tena na ni firmware ipi inaweza nisaidia ikawaka
W3 au w3lite????
 
Back
Top Bottom