Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Na mimi pia naomba msaada kwa hili tatizo ila mafundi wa software imewashinda naomba kujua plan B ya hili tatizo.
Lumia 520.jpg
 
Ulishaambiwa memory yake itakuwa imeharibika. Au kalereke kwa fundi akaiflash.
Sijaambiwa kama ulivyosema coz unapeleka kwa fundi inakaa hata week ila visingizio kibao ooh mara Nokia simu zao kutengeneza ni ngumu.
 
Natafuta sim card reader na mike ya sony experia m2 nicheck hapa 0713651733
 
msaad kidogo wakuu nina samsung ace 4 wakuu haimalizi kuwaka nimepeleka kwa fundi wa software nayo imegoma
 
Back
Top Bottom