Elya
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 296
- 176
hyo iko kamm clone na hapo bado cjajua kama kinachohtajka n kioo au housingMkuu hyo Clone au Orgin????
hyo iko kamm clone na hapo bado cjajua kama kinachohtajka n kioo au housingMkuu hyo Clone au Orgin????
Ndo na mm bado nipo njiapandahyo iko kamm clone na hapo bado cjajua kama kinachohtajka n kioo au housing
na hii toka jana nmeona hakuweka waz na pia cna uhakka km aliku pm km ulvyomuelekezaNdo na mm bado nipo njiapanda
Weka link ya whatssa
Bado.Weka link ya whatssa
Kanipmna hii toka jana nmeona hakuweka waz na pia cna uhakka km aliku pm km ulvyomuelekeza
Kiongozi nina tecno r7 niliipeleka kwa mafundi software na hardware huko Dar wakaishindwa, waliniambia nibadilishe motherboard . Wewe uko wapi Nikuletee uicheki?ww inaonesha ni mkomaaji mzuri na ndio maana umetoa majibu mazuri.
Hivi tatizo litakuwa niniMicrosoft Lumia 535 charger inazingua![]()
mkuu cm kama iyoiyo inasumbua netwerk vp utalam wake apimara nyingi charger connector inakuwa chafu jaribu kuisafisha vizuri na kuikausha kwenye taa
Hahahaha mahondaw banaNaanzaje kureopen ndugu sina nilijualo miyee
Kwenye kufuta data Inaniambia hivi eti
naogopaje kubugi ikabuma mazima Tehteh![]()
Audio ic ndo chenga. Ambayo inasiama kama amplifire...Kuna tecno c8 speaker hazifany kaz, hata ukichomeka earphone still iko kimya, kuna mwenye utaalam kidogo wa hii kitu
Nitajie model namba tafadhari ili twende sawamkuu cm kama iyoiyo inasumbua netwerk vp utalam wake api
nawezaje kufix hii kituAudio ic ndo chenga. Ambayo inasiama kama amplifire...
Tuma picha ya saketi yako kwa upande wa mbere na nyuma then nitakuwekea alama katika ic unayotakiwa ubadilishe au upime njia zake kama zinatoa mawasiliano vzurnawezaje kufix hii kitu