Zugak17
JF-Expert Member
- Aug 9, 2014
- 1,171
- 384
Unamaanisha circuit au!!!Me nataka mother bod ya note lll
Unamaanisha circuit au!!!Me nataka mother bod ya note lll
Tatzo lake nn????Cjajua me nina samsung note3
Nataka mother bod mpyaTatzo lake nn????
Baadae kidogo.Nataka mother bod mpya
Mkuu ingekua vyema ungenitajia ranging priceOfa yako bei gan???
Hiyo simu yako inatatizo gani nikusaidie maana hii thread haija kaa vizuri majibu haya kai vizuri
mara nyingi charger connector inakuwa chafu jaribu kuisafisha vizuri na kuikausha kwenye taaWakuu habari zenu.
Samsung haiwaki mpaka uchomeke chaji ndipo uiwashe inawaka.
Nipeni suluhisho la tatizo hilo.![]()
![]()
Broo simu yangu aisaport h+ ina ishia tu 3gHiyo simu yako inatatizo gani nikusaidie maana hii thread haija kaa vizuri majibu haya kai vizuri
Hilo husababishwa na settings zisizo sahiihi kwenye Access pointBroo simu yangu aisaport h+ ina ishia tu 3g
180Mkuu ingekua vyema ungenitajia ranging price
Mkuu issue gan unataka ufanye???View attachment 522056Imekataa nachea kazi
Nenda Settings, mobile networks, network mode weka wcdma only then ucheck itakuwaje.Simu yangu ni tecno l9 plas nashangaa aipandishi h+ nisaidieni
Angesema ni mtandao gan pia anatumia ingekuwa rahisi kumpa maelezoHilo husababishwa na settings zisizo sahiihi kwenye Access point
Tatizo hawa wadau hawasemi wengine ukiwambia hawajieleza vizuri wanatukana matokeo yake mimi huwa nakaa kimya 'mara nyingi huwa hawataji aina za simu hizo thread nikuzipotezea hadi watakapo anza kujieleza vizuri'Angesema ni mtandao gan pia anatumia ingekuwa rahisi kumpa maelezo
Hvo tuTatizo hawa wadau hawasemi wengine ukiwambia hawajieleza vizuri wanatukana matokeo yake mimi huwa nakaa kimya 'mara nyingi huwa hawataji aina za simu hizo thread nikuzipotezea hadi watakapo anza kujieleza vizuri'