Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Nina tecno Boom J 8 inasoma emergency Muda wote isipokuwa kuna wakati inasoma na kupotea
 
Ili anzaje angalia baseband na imei km zipo hizo imei zihakiki kwa kutuma kwenda 15090
9068dcdaadd36c7e59c4577dfc393ad7.jpg
 
Nina simu yangu tecno h5,ukiiwasha mafail yanaonekana lakini keyboard haisomi.kwahiyo ukitaka kuandika haiwezekani kabisa.
 
Wakuu habari zenu.

Samsung haiwaki mpaka uchomeke chaji ndipo uiwashe inawaka.

Nipeni suluhisho la tatizo hilo.
57b6d7e50a4f27ce46ad17d34910e970.jpg
09597305fcf9050e1f6d4ec5d3272802.jpg


Wakuu nimejaribu kutoa System Charge lakin bado tatizo lipo pale pale.

Kuna njia nyingine??
 
Nina simu yangu tecno h5,ukiiwasha mafail yanaonekana lakini keyboard haisomi.kwahiyo ukitaka kuandika haiwezekani kabisa.tatizo ni nini?
 
Tecno Telecom (HK) Limited - BOOM J8 - Kama aina iliyotajwa haioani na simu yako, ibadilishe kwani ITAFUNGIWA
Safi julisha km hizo imei ndizo ambazo ziko kwenye hiyo simu namaanisha km zina ona na hizo zilizo bandikwa kwenye simu yako
 
Samahani mkuu sija kuelewa kumjulisha vipi? Mr
delete kwanza hizo imei za simu yako ulizo ziweka hapo nimekwambia julisha km hizo imei ambazo zinaonekana ndani ya hiyo simu km zina fanana na hizo za nje yaani zilzo bandikwa kwenye hiyo simu yako
 
delete kwanza hizo imei za simu yako ulizo ziweka hapo nimekwambia julisha km hizo imei ambazo zinaonekana ndani ya hiyo simu km zina fanana na hizo za nje yaani zilzo bandikwa kwenye hiyo simu yako
Dah aisee kwelikweli hazifanani
 
Back
Top Bottom