Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu Nina simu ya Tach hapa inaitwa "MI" mchina .

Tatizo lake nikitaka kuangalia SALIO au kuweka inaleta ujumbe "connection problem or invalid MMI CODE"

Tatizo lipo wapi hapo wakuu
Ina rom gan kwa sasa????
 
Nahisi kama inaweza kuwezekana. Maana ukitoa miguu ya mwisho ya taa mingne ikishakuwa connected saf tu...
Haiwezekani kwasababu vioo navyo huwa vinaendana na software
Na ndio maana kunasimu huwa zinachagua vioo unakuta kunasimu ukiweka njia 37 kinakataa lakini ukiweka kwenye simu nyingine kinakubali na nyingime ukiweka kwenye simu nyinge kinakataa lakini unakuta simu zote vioo ni njia 37
 
Ww acha dharau ww sio wakijilinganisha na trump.
Hadi umuite trump boya.

Mkuu usiseme haiwezekan maana simu za kichna huwa hazijielewi kama unavyofikiri
 
Naomba picha circuit ya techno l5 upande wa terminal za betry
Kwani hizi zimechomoka sasa hii circuit diagram inanipa shida
 
Mkuu usiseme haiwezekan maana simu za kichna huwa hazijielewi kama unavyofikiri
Mm hizo solution nimejaribu mpaka basi.

Ila mm nilichogundua ktk hizo simu ukiona na kio njia ni zile zile na hainyesha cha kufanya kama inamemory badilisha na memory ambayo inaenda na software ya kioo.

Umeiona jiyo ic yenye miguu njia 8 yani huku 4 na huku 4
Hizo ndio memory ya hizo simu kwa mfano hiyo ikizima au ina password ukibadilisha hiyo ic inakuwa poa kabisa.
82ec9e829be5366bcf060d232aafc669.jpg
 
Ww acha dharau ww sio wakijilinganisha na trump.
Hadi umuite trump boya.

Haiwezekani kwasababu vioo navyo huwa vinaendana na software
Na ndio maana kunasimu huwa zinachagua vioo unakuta kunasimu ukiweka njia 37 kinakataa lakini ukiweka kwenye simu nyingine kinakubali na nyingime ukiweka kwenye simu nyinge kinakataa lakini unakuta simu zote vioo ni njia 37
Mkuu usiseme haiwezekan maana simu za kichna huwa hazijielewi kama unavyofikiri
Mm hizo solution nimejaribu mpaka basi.

Ila mm nilichogundua ktk hizo simu ukiona na kio njia ni zile zile na hainyesha cha kufanya kama inamemory badilisha na memory ambayo inaenda na software ya kioo.

Umeiona jiyo ic yenye miguu njia 8 yani huku 4 na huku 4
Hizo ndio memory ya hizo simu kwa mfano hiyo ikizima au ina password ukibadilisha hiyo ic inakuwa poa kabisa.
82ec9e829be5366bcf060d232aafc669.jpg
Hujaweka alama ktk hyo ic
 
Wakuu habari zenu.

Samsung haiwaki mpaka uchomeke chaji ndipo uiwashe inawaka.

Nipeni suluhisho la tatizo hilo.
57b6d7e50a4f27ce46ad17d34910e970.jpg
09597305fcf9050e1f6d4ec5d3272802.jpg
 
Kwanza kaka ubarikiwe maana unatufungua hata sisi wengine tunaodili na simu za aina moja kwa asilimia kubwa

Kwa mimi binafsi nafanya kote yani s/w na h/w. Ki ufupi vyote vinategmeana kwa asilimia kubwa maaana kuna point lazma utakwama mpka uhamie upande mwingine kikubwa ni ushirikiano maana wote tunategemeana
 
Back
Top Bottom