Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Naomba kujua namna ya ku flash Vodafone 301 SMART BOMBA bila kuiathiri maana inanikera intaneti mpaka Voda tu
 
Habarini wakuu nina LG p769 hapa INA tatizo.

Ukiweka betry nakuwasha inawaka inaonesha LOGO YA LG baadaye kioo kinakuwa plain.

Nimechaji simu imeonesha fully nikiwasha matokeo ni yaleyale.

Nimebadili Betty bado matokeo ni yaleyale.

Msaada hapo nin suluhu?
e4b7037fa926f43691fe7988ebc7e439.jpg
 
Ushaijaribu kwa mafundi upande wa software????
 
Wakuu naomba msaada,Nina shida kwenye simu yangu kila nikiwasha data kuna matangazo yanadisplay hivyo husitisha nilchokua nafanya kwenye simu
 
Back
Top Bottom