Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

hazole1 msomali90 na wataalamu wengine mimi simu yangu ina shida upande wa network sikuhizi haishiki kabisaa 3G wala H+ Tatizo ninini mkuu ???

Pia upande wa play store kuna baadhi ya apps nikitaka kudownload zinagoma zinaniambia AUTHENTICATION IS REQUIRED. YOU NEED TO SIGN INTO YOUR GOOGLE ACCOUNT watati nyingine zinakubali

Ni Sony experia Z1

Nawasilisha

Cc Smart911
Jarib kuchange APN kulingana namtandao unaotumia kuna sehem nakujaza ikiwemo hiyo authentic
 
msomali90 APN ndo nini tena mkuu?? naipata wapi kwani?? Na naibadilishaje miyee??

Cc Smart911
Ingia settings kisha nenda kweny mobile network, zen nenda kwenye access point itakupeleka kweny hiyo APN sasa hapo itabid ujaze gaps ili kufanikisha tafuta raia mwny sim yeny lain kma yako ili ucopy ilvyojazwa hizo gaps
 
Mkuu huko kwenye APN naona options mbili tu

Vodacom Internet

Vodacom wap..
Simu ipo kwenye Vodacom Internet...

Cc Smart911
 
hazole1 msomali90 na wataalamu wengine mimi simu yangu ina shida upande wa network sikuhizi haishiki kabisaa 3G wala H+ Tatizo ninini mkuu ???

Pia upande wa play store kuna baadhi ya apps nikitaka kudownload zinagoma zinaniambia AUTHENTICATION IS REQUIRED. YOU NEED TO SIGN INTO YOUR GOOGLE ACCOUNT watati nyingine zinakubali

Ni Sony experia Z1

Nawasilisha

Cc Smart911
jaribu kufanya hivi

fungua "settings" then "apps" then "play store" then "clear data"

ila hizo steps inategemea unatumia version gani ya android
 
jaribu kufanya hivi

fungua "settings" then "apps" then "play store" then "clear data"

ila hizo steps inategemea unatumia version gani ya android
Nikiclear hazina effect yoyote endapo itazingua kusovika??
aaa792b8b278cce09102c6a6408ee2ed.jpg

Ndo hapo [emoji121]
 
ufundi simu unaanzia na kufungua kwahiyo hilo lizingatie sana.
na kama simu hauielewi vizuri ni bora ukaingia youtube na ukauliza ni namna gani ya kuifungua.
Mm sio fundi lkn nachukia mafundi wanaofungua machine yeyote halafu wanashindwa kuirudishia km ilivyokuwa utakuta fundi amemaliza kazi halafu amebakiwa na nut/screw mkononi unamuuliza hizo za wapi hajui!
 
reopen playstore
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/2ba6f69ed56b8ad5cf5ebfbce6fc7f13.jpg[/IMG

Inaniambia hivo eti. Nahio reopen tena nitaianzia wapi make sina nilijualo kabisa kwenye hizi issue.. Niwie radhi kwa maswali [emoji120] [emoji120]
 
msomali90 kwenye APN - Vodacom Internet inahivi vidude dude nimeona na kuna sehemu kama kuna neno authentication vilee!!!
f5577b2815656958c562360d1f243fcb.jpg

55b23efa1f5f874ec9eaae68f6307dac.jpg

20377f9ff49b81e3c49792ccc1b7e612.jpg

Ndo inakuaje hapo sina nilijualo nisaidie mkuu [emoji120]

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom