Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

na kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
mi ni fundi ila sijabobea ktk fni, hizi tecno t340 kuweka mic kwangu ni shida, na kutumia mita nibaini kuwa cm hii itawaka au la, mtandao nokia 1280, contact service nokia x2 please nisaidie kaka
 
mi ni fundi ila sijabobea ktk fni, hizi tecno t340 kuweka mic kwangu ni shida, na kutumia mita nibaini kuwa cm hii itawaka au la, mtandao nokia 128, contact service nokia x2 please nisaidie kaka
hujajieleza vizuri lkn nakujibu nilivyo elewa km contact service ni ya nokia x2 huwa inatoka
 
HAZOLE 1 nikikuletea simu iliyigoma kusoma usb una hakika ya kuiwezesha kusoma? Simu yangu ya tecno ina matatizo upande wa siftware. Huwa kama ni software natengeneza mwenyewe maana sansung j5 yangu iliwahi kufeli upande huo nikawapelekea mafundi wawili tofauti niliowaamini wakashindwa. Nilitulia nikaifufua mwenyewe ila ilinichukua almost a week.
 
Niliwahi kuleta simu yangu ya HTC ONE VX kariakoo kwa ajili ya replacement ya screen, tumbo liliuma the way jamaa alivyokuwa anaifungua kama anapigana mieleka. Mwisho wa siku screen haikupatikana, kuirudishia camera ikagoma kufanya kazi vizuri.

Mpaka leo nimeitupa humu ndani kwa mwenye kuitaka kwa ajili ya spea anijulishe. Tatizo lake ni screen tu.

Tatizo la kurestart kwa HTC Desire 820s Dual Sim ni kitu gani mkuu? Ni hardware au ni software? Au hapa ni kwa wale wa Tecno tu?

Mimi sio fundi Bali nimevutiwa kupita hapa
 
Nipe model ya hiyo tecno.
 
Hiyo ya 820 ya kuflashiwa
 
hazole1 msomali90 na wataalamu wengine mimi simu yangu ina shida upande wa network sikuhizi haishiki kabisaa 3G wala H+ Tatizo ninini mkuu ???

Pia upande wa play store kuna baadhi ya apps nikitaka kudownload zinagoma zinaniambia AUTHENTICATION IS REQUIRED. YOU NEED TO SIGN INTO YOUR GOOGLE ACCOUNT watati nyingine zinakubali

Ni Sony experia Z1

Nawasilisha

Cc Smart911
 
Wadau mi nina Techno Y2 ina miezi mitatu tangu niinunue lakini siku nne baada ya kui ununua ikaanza kujizima niliporudi dukani wakanambia labda tatizo ni betri wakanipa betri nyingine lakini hali ikawa ni ileile.
Ikijizima haiwaki mpaka utoe betri halafu uirudishie.
Nimeongea na watu kadhaa wanaomiliki simu kama hii wameniambia kuwa wana tatizo hilo hilo.
Waungwana naomba ushauri wenu kuhusu tatizo hili.
Natanguliza shukrani
Tecno mizinguo
 
Back
Top Bottom