Huo mtambo ni mtambo ambao unasaidia sana ktk mambo ya hardware,unaweza kutoa ama kuweka aina yoyote ya ic bila matatizo yoyote tofauti na blower,blower wakati mwingine kwa fundi asie jua kubalance joto na upepo huweza kuharibu simu badala ya kuitengeneza tatizo ni bei ghali sana ila ni nzuri sana
0717458447Yaah zinaendana unasukuma kwa bei gani
Ni vyema sana ukawa kote kote maana haya mambo yanategemeana sanasheikh kumbe kotekote unapiga!!!!!!!
Na kama nataka kujifunza kutengeneza simu ninapaswa kufanyaje?na kama unaswali lolote linalohusu tecno au itel upande wa hardware naomba uniulize ila uahakikishe ww ni fundi.
Mkuu huo mtambo unaweza ukawa bei gani?Huo mtambo ni mtambo ambao unasaidia sana ktk mambo ya hardware,unaweza kutoa ama kuweka aina yoyote ya ic bila matatizo yoyote tofauti na blower,blower wakati mwingine kwa fundi asie jua kubalance joto na upepo huweza kuharibu simu badala ya kuitengeneza tatizo ni bei ghali sana ila ni nzuri sana
Ukitaka kujifunza ufundi simu kwanza mtafute fundi ambaye yupo karibu na maeneo unayo ishi. Jaribu kushinda naye hata week moja. akuelekeze mawili matatu. yani uujue ule mwanzo tu.Na kama nataka kujifunza kutengeneza simu ninapaswa kufanyaje?
Latest ACHI HR15000 Semi-Automatic BGA Rework StationMkuu huo mtambo unaweza ukawa bei gani?
Tupe hizo hatua mtalamTatizo kubwa kwa mafundi simu upande wa hardware kutumia hisia zaidi kuliko avometa,
Lakini pia kazi ya hardware nakubali kabisa kuwa hisia zinahitajika
Mfano ni pale unapopokea simu ambayo kwa kutumia mita utagundua pengine ina short circuit,simu ikiwa na shot circuit mara nyingi ic nyingi husomeana na ground jambo ambalo humfanya fundi atumie hisia kali kuliko kipimo.
Kwahiyo kupitia huu uzi nami nitaeleza mawili matatu namna ya kusolve shot circuit kutegemea na chanzo cha shot yenyewe mfano chanzo kinaweza kuwa maji,umeme,kudondoka.
Karibu sana mkuu tuongezane ujuzi.Tatizo kubwa kwa mafundi simu upande wa hardware kutumia hisia zaidi kuliko avometa,
Lakini pia kazi ya hardware nakubali kabisa kuwa hisia zinahitajika
Mfano ni pale unapopokea simu ambayo kwa kutumia mita utagundua pengine ina short circuit,simu ikiwa na shot circuit mara nyingi ic nyingi husomeana na ground jambo ambalo humfanya fundi atumie hisia kali kuliko kipimo.
Kwahiyo kupitia huu uzi nami nitaeleza mawili matatu namna ya kusolve shot circuit kutegemea na chanzo cha shot yenyewe mfano chanzo kinaweza kuwa maji,umeme,kudondoka.
Njoo nikuuzie saketiNauza iphone 4s nyeupe yenye icloud,ninzuri kwa spare parts kama kioo na makava n.k
Bei Tsh 60,000/
0713724242
Hiyo simu achana nayo haitengenezeki itakupotezea muda bure![]()
![]()
![]()
Wakuu inawezekana hili TATIZO LA HUAWEI Y300 kujiwasha na kisha kuonesha INAJICHAJI ni tatizo kubwàaaaaà?
Mafundi wawili wameishindwa.
kubadili IC charging bado haijawa suluhu nin tatizo hapa wakuu
Mambo vp mkuuSafi sana tena unapotengeneza mteja anakuona inajenga imani 'It builds confidence to a customer'
Hyo taa inablink au unawaka moja kwa moja???Mambo vp mkuu
Nina tecno W4 ilizima gafla nikiwa naangalia video haionyeshi chochote kwenye screen ila nikiichomeka charger inawasha taa nyekundu tatizo linaweza kuwa lipi
1280 kuunga taa ni simple1280 taa lazima ziwake
Upo maeneo gan na ofa yako bei gan????Msaada mwenye kioo cha note 5 kinahitajika haraka sana