Aisee hiyo kali mbona product Name haipo nashindwa kushangaa 'Product Name please' nikusaidieWakuu sim yangu samsung note 2 inazingua kuwasha ni meenda kuiflash lakini bado na anae flash ana niambia inaflash mpaka ina maliza lakini iki waashwa bado ina ishia kwenye boot mode kaiflash mara 3 lakini bado msaada wenu![]()
![]()
![]()
Yaani jadi jashoAisee hiyo kali mbona product Name haipo nashindwa kushangaa
Mara nyingi tatizo huwa linaanza simu ikiingia kwenye maji.Hivi kwa uzoefu ulionao nini hasa sababu ya simu kuchaji mkuu hazole1
jaribu file lenye details hizo hapo chini huwa lina fyatua kabla ya kutumia 'sometimes efs do corrupt try to repair efs first before flashing with that type of file' AP_N7100XXUEM16_CP_N7100XXEM16_CSC_N7100XAEM16_BY_WVAZ_DINK
Asante sana mkuu hazole1 kwa somo zuriMara nyingi tatizo huwa linaanza simu ikiingia kwenye maji.
Au kuna diod inakuwa inashoti kwasbabu diod nyingi za kwenye chaji kikawaida inabidi iwe inapeleka moto tu na hailudishi nyuma.
Au tatizo linaweza kuwa kwenye prosesa kikawaida simu hadi ikuonyeshe inachaji kwenye ic ya chaji kunakuwa kunanjia tatu 1 inatoka kwenye syestm chaji ya pili inaenda kwenye betri ya tatu inaenda kwenye prosesa na
Hiyo inakuwa kama sensa na ndio inakuambia saizi betri lipo asilimia ngapi.
Sasa hiyo njia ya sensa ikipiga shoti inakuwa haitengenezeki labda hadi iende kiwandani wakabadilishe prosesa.
iondoe hiyo image ina imei ama edit kwenye imei tu
Samahani mkuu product name maana hii ni Samsung Galaxy Note ¡¡ GT-N7100Aisee hiyo kali mbona product Name haipo nashindwa kushangaa 'Product Name please' nikusaidie
Mkuu mimi nifundi lakini kuflash sijui lakini nataka kujifunza hayo mambo ya softwaer kiundani zaidi nime mpelekea fundi mwenza ngu ambae huwa nampelekea simu za kuflash lakini kachemka ikabidi!niende kwingine nao watatu wamechamka so hilo faile ullio nitumia nashindwa kuli tumia asante kwa msaada wako maana mimi elim yangu upande huwo ni kutumia zile MTK n.kjaribu file lenye details hizo hapo chini huwa lina fyatua kabla ya kutumia 'sometimes efs do corrupt try to repair efs first before flashing with that type of file' AP_N7100XXUEM16_CP_N7100XXEM16_CSC_N7100XAEM16_BY_WVAZ_DINK
Akili inakataa kushindwa lakin fund mwingine kanambia kama unavyoniambiaHiyo simu achana nayo haitengenezeki itakupotezea muda bure
ndogo sana hapo tatizo ni charger yako current ndogo sana upo maeneo gani 'pande zipi mkuu'
pale kwenye product name huonyesha aina rom iliyoko ndani kwenye hiyo simuSamahani mkuu product name maana hii ni Samsung Galaxy Note ¡¡ GT-N7100![]()
sijakutumia file nimekutumia details za file ili u download na liko kwenye winarMkuu mimi nifundi lakini kuflash sijui lakini nataka kujifunza hayo mambo ya softwaer kiundani zaidi nime mpelekea fundi mwenza ngu ambae huwa nampelekea simu za kuflash lakini kachemka ikabidi!niende kwingine nao watatu wamechamka so hilo faile ullio nitumia nashindwa kuli tumia asante kwa msaada wako maana mimi elim yangu upande huwo ni kutumia zile MTK n.k
ninge penda ushauri wako mkuu
Kwaihi itakua ni rom ndio ime kufa?? Bennypale kwenye product name huonyesha aina rom iliyoko ndani kwenye hiyo simu
Hapo kuna changamoto wachina simu zingine zinaingia kwenye download mode wakati siyo org nimesha wahi pata kadhaaKwaihi itakua ni rom ndio ime kufa?? Benny
Safi wipe data halafu wipe cache n.b wipe cache nimuhimu sana hiyoEeeeenmkuu nime bahatisha ime niletea hivi benny![]()
![]()