Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

hazole1,and others
Mimi naamini ukiwa fundi ni bora ujue .ELECTRONICS kwa ujumla wake ambayo itajumuisha HARDWARE na SOFTWARE ukiwa nusu nusu sio competent! maana simu ni radio formulated/(transmeter and reseiver). naukijua ELECTRONICS maana yake uweze kusoma schematic diagrams na block diagrams ambapo kwa kupitia hizo ni vigumu kushindwa tengeneza simu yeyote ukijumuisha kama una vifaa vya kufanyia kazi,kama multimeter,gun,blowers including infrared ones,BGA remover,esd safe materials,osciloscope,torx set etc tambua ufundi ni vifaa na ujuzi sasa wengi wetu ukishakuwa na blower,gun,screwdriver umemaliza hapo lkazima uharibu vitu vya watu,

1.Mimi nahitaji mwenye solution ya Tecno W4 ukiflash kwa scatter file inakuwa haidisplay!
2.Wapi ntapata BLOCK DIAGRAM ZA TECNO NA ITEL na SCHEMATIC DIAGRAMS ZAKE
Unacho sema ni kweli mkuu kwa mfano mm hapa ni fundi simu ila maswala ya kutumia mita sana nimejifunza kwa fundi radio.

Na ni kweli mafundi simu wengi upande wa vifaa hatujakamika na kinacho tubana ni mitaji.

Na kuhusu swala la elimu ya electronic inafaa kila fundi ambaye anaipenda kazi yake inabidi ajue umuhimu wake.
 
Kama kuna mwenye kufahamu kama upo uwezekano wakupata touch screen ya samsung J7 peke yake naomba kujulishwa
 
Nna shda na touch nzma
sasa mkuu unawaza kupata touch ya j7 iliwa peke yake? hayo mawazo ya kuokota nyumba ktk nchi yenye amani ondoa kabsaa... nunua kioo comprete
 
Back
Top Bottom