Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Naenda yes wipe cache
4fbb821e34d51c626bc223eb6b8db5ae.jpg
 
Nashukuru sana mkuu Benny lakini hapo sijakuelewa.
Simu za Android ile nzima km ilikuwa iko on ukatoa betri na kuweka bila kusubri sekunde 10 zikapita ukaliweka say in 2 seconds itawaka mfano km ulikuwa una badilisha switch ukitaka kujua ina fanya kazi hesabu hadi sekunde 10 ndiyo uliweke
 
Ahsante hapo nimekusoma vizuri mkuu
 
hazole1,and others
Mimi naamini ukiwa fundi ni bora ujue .ELECTRONICS kwa ujumla wake ambayo itajumuisha HARDWARE na SOFTWARE ukiwa nusu nusu sio competent! maana simu ni radio formulated/(transmeter and reseiver). naukijua ELECTRONICS maana yake uweze kusoma schematic diagrams na block diagrams ambapo kwa kupitia hizo ni vigumu kushindwa tengeneza simu yeyote ukijumuisha kama una vifaa vya kufanyia kazi,kama multimeter,gun,blowers including infrared ones,BGA remover,esd safe materials,osciloscope,torx set etc tambua ufundi ni vifaa na ujuzi sasa wengi wetu ukishakuwa na blower,gun,screwdriver umemaliza hapo lkazima uharibu vitu vya watu,

1.Mimi nahitaji mwenye solution ya Tecno W4 ukiflash kwa scatter file inakuwa haidisplay!
2.Wapi ntapata BLOCK DIAGRAM ZA TECNO NA ITEL na SCHEMATIC DIAGRAMS ZAKE
 
Back
Top Bottom