Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Hili limemkuta jamaa yangu juzi. Mteja kampelekea simu ya touch ili kubadili display. Jamaa kanunua display kambadilishia baada ya makubaliano ya bei. Ilipokamilika kamtaarifu mteja wake kwamba simu iko tayari. Mteja kamwambia kama utapita maeneo ya ofisini kwangu nipitishie, wakaafikiana.
Fundi wakati anaipeleka iko mfukoni akiwa na boda sijui hata ilitokea nn touch ikavunjika. Ikabidi arudi akamnunulie touch nyingine kamuwekea. Kasheshe likaibuka wakati amemaliza kuweka touch anafunga simu eti ile display aliyoweka ikafa(sikuelewa namna ilivyokufa).
Mteja alipofika kuchukua simu yake akaelezwa hiyo scenario akauliza sasa tunafanyaje? Mteja alikuwa polisi pia!

Nikaacha mjadala.
Huyo fundi haja jipanga kwanini umpelekee simu mteja labda hana wateja kitendo cha kuondoka ofisini unapoteza wateja pia
 
Kwa mafundi mliopo dar kuna mtu ana kioo cha simu hii
4bb7c6b0620b220a8076748e13b8bee2.jpg
ada195ccdec3d647e4f41b928a88a7d0.jpg
54282af9c90159c5d88bab047557d6ae.jpg

Maana mwenye simu anadai jembe lake mpaka lipone.
 
Wakuu habari zenu.Mimi sio fundi ila nimekua nikiufatilia uzi huu tangu ulipo anza hadi sasa ila nina tatizo na simu yangu Tecno c5 tatizo lakwanza iliingia maji, tatizo la pili software ilikua inasumbua simu inaweza ku stack then ina leta chenga chenga kama vile tv za zamani zikipoteza chanel. Nilipeleka kwa mafundi wetu wa uswailini ila naona kama ndio ameua kabisaa.Msaada tafadhari
 
Vitu vingine tunaweza saidiana face to face so inakuwa ni bola watu mtaje address zenu
 
Back
Top Bottom