Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Naanzaje kureopen ndugu sina nilijualo miyeereopen playstore
Kwenye kufuta data Inaniambia hivi eti
Naanzaje kureopen ndugu sina nilijualo miyeereopen playstore
Naanzaje kureopen ndugu sina nilijualo miyee
Kwenye kufuta data Inaniambia hivi eti
naogopaje kubugi ikabuma mazima Tehteh![]()
Hapo nikishafuta kuna option ya kufungua / restart!??????kureopen = kufungua/kuwasha/kustart
clear data kisha open/start google play
Hapo nikishafuta kuna option ya kufungua / restart!??????
Thanks so much mkuu am done nilikua naogopajee dah!? Tayariiiiiiiiiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]unaistart kawaida
acha woga...
Kwenye upande wa network je mkuu??unaistart kawaida
acha woga...
Asante mkuu nimeipataHiyo pia ninzur inatakiwa utafute authintification type hua inakua PAP / CHAP inabid uweke PAP
Nice kaz nzuri napenda mtu mwelewa kama wew
Mm sio fundi lkn nachukia mafundi wanaofungua machine yeyote halafu wanashindwa kuirudishia km ilivyokuwa utakuta fundi amemaliza kazi halafu amebakiwa na nut/screw mkononi unamuuliza hizo za wapi hajui!
Asante mkuu nimetoa kila kitu nimebakiwa na PCB tu nimekuja gundua chin ya kioo ilichomwa moto huko kariakoo hivyo imekataa baadh ya njia kwa ndani.Badlisha vitu vinavyopata moto
thanks..Thanks so much mkuu am done nilikua naogopajee dah!? Tayariiiiiiiiiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Ubarikiwe mnooooooooo mkuu [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Cc Smart911
try this, funguaKwenye upande wa network je mkuu??
3G na H+ zina miezi miwili zimekata kabisa hata nikisearch mpaka keshokutwa kwenye options hazijii
Setting inanipeleka kwenye hiitry this, fungua
"setting" then "network settings" then "preferred network type" then hakikisha umeselect "3g" au "auto"
Aah [emoji4][emoji4] umenifurahisha sana...hapo fundi umempataMm sio fundi lkn nachukia mafundi wanaofungua machine yeyote halafu wanashindwa kuirudishia km ilivyokuwa utakuta fundi amemaliza kazi halafu amebakiwa na nut/screw mkononi unamuuliza hizo za wapi hajui!
check upande wa call setting hasa send caller id inaweza kuwa imewekwa hide,Huawei y300 tatizo lake call ended kila nikijarbu kupiga simu tafadha msaada hapo
ingia kwenye "network mode" then select "wcdma/auto"Setting inanipeleka kwenye hii
![]()
Hapo kwenye mobile network kuna hii![]()
Ukija kwenye Internet settings kuna hii tu inayohitaj kukubali or kukataa tu haiongezi maongezi hapo ukubali / ukatae yenyewe imemaliza![]()
Tukienda mpaka kwenye service providers kuna hizi ambapo zamani kwenye hizo options zilikuepo na 3G na H+ but nowdays naona zinakosa kabisaaaaa hata isearch siku nzima nahapa ndo kwenye mashikolo hapa hizo mbili zimeyeyukia wapi??
![]()
Tukija kwenye APN kuna hii![]()
Tunaendelea na Vodacom Internet kuna hii![]()
Nahii![]()
Cc Smart911